Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika
ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa ni kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (UWT)
Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma