Monday, August 13, 2012

EXPENDABLE 2 KUINGIA SOKONI IJUMAA HII TAR 17 AUGUST

Kwa wale wapenzi wa filamu za kibabe (action movies) kaa mkao wa kula kwni Expendables 2 ambayo ni muondelezo ile ya mwaka 2010 inatarajia kuingia sokoni ijumaa ya wiki hii August 17.
Filamu hiyo imewahusisha waigizaji wakongwe, Sylvester Stallone kama Barney Ross ambaye ndiye kiongozi wa kundi la makomandoo wa The Expendables, Jason Statham kama Lee Christmas, ni mtaalam wa visu wa The Expendables, Jet Li kama Yin Yang, Dolph Lundgren kama Gunnar Jensen, Chuck Norris kama Booker, Jean-Claude Van Damme kama Jean Vilain (kiongozi wa upande wa maadui), Bruce Willis kama Mr. Church, Arnold Schwarzenegger kama Trench, Terry Crews kama Hale Caesar, Randy Couture kama Toll Road, na Liam Hemsworth kama Billy the Kid:

Baadhi ya washiriki katika filamu ya Expendables 2, kutoka kushoto ni Van Dame, Arnord, Stallone (Rambo), Jason na Dolph


Stallone (Rambo) na Dolph


 Rambo akiwa na Arnold Schwaznegger

 Van Damme akionyesha kwamba bado yupo fiti

Dolph 

Van Damme

Stallone(Rambo) na Jason
HAKIKA HII FILAMU SI YA KUKOSA 
(PICHA KWA HISANI YA LEOTAINMENT BLOG)

No comments:

Post a Comment