Saturday, June 15, 2013

PICHA:MLIPUKO WA BOMU ARUSHA

Mlipuko huo umetokea majira ya saa 12:00 jana na majeruhi ni zaidi ya 10 ambao walikimbizwa katika hospitali ya Mount Meru kwa ajili ya matibabu.
Bomu hilo ambalo lilikua limetegwa katika mkutano huo lililipuka na kusababisha mauti na kujeruhi watu zaidi ya 10. pia gari limevunjwa kioo na wananchi kwa madai ya kwamba limeshindwa kuokoa maisha ya majeruhi.

 picha kwa hisani ya Habari Masai
Inaonekana bomu lilitegwa karibu na gari la matangazo, Mtoto aliyelipukiwa na bomu amefariki uwanjani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Abbas amesema kwamba watu wawili ndio wamepoteza maisha.
- See more at: http://www.chahali.com/2013/06/habari-na-picha-za-mlipuko-wa-bomu.html?utm_source=feedburner&utm_medium=feed&utm_campaign=Feed%3A+chahali%2FQwqK+%28Kulikoni+Ughaibuni%29#sthash.w7ehYLCw.dpuf

No comments:

Post a Comment