Monday, October 22, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA UKUMBI WA CHUO CHA MIPANGO DODOMA KATIKA KILELE CHA MKUTANO MKUU WA UWT

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma ikiwa ni kufunga mkutano mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

 Wanachama wakongwe wa UWT na CCM wakishangilia

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

Friday, September 21, 2012

MAANDAMANO YA AMANI YA KUPINGA UWEPO WA RPC WA IRINGA KAMUHANDA YAPIGWA STOP

 Polisi wakiwa tayari kuhakikisha hakuna kufanyika kwa maandamano

 Mh. Peter Msigwa akiongea na wananchi na waandishi wa habari kuhusu kusitishwa kwa maandamano hayo

 Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)


 
Mbunge wa Iringa mjini kupitia tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Msigwa, akizungumza na wanachama na wapenzi wa chama hicho katika ofisi za Wilaya za chama hicho kuhusu kuahirishwa kwa maandamano ya amani  yaliyokuwa yafanyike siku ya leo kushinikiza kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda kujiuzulu kutokana na kifo cha mwandishi wa habari wa channel ten Daudi mwangosi kilichotokea tarehe 2 septemba mwaka huu. 
 
Msigwa amesema kutokana na barua aliyoipata toka kwa zikitaka kusitisha maandamano hayo, aneleza barua inawataka kusitisha na kueleza kuwa sababu kubwa ni kwamba maandamano hayo hayataweza kuwa na polisi wa kusimamia na kukataza kufikia katika ofisi ya RPC  ambayo ni ofisi ya kiserikali.
 
Hata hivyo Msigwa ameeleza kuwa msimamo wao uko pale pale ila anajiandaa kujibu hoja za barua hiyo na kuwataka wananchi wawe na subira mpaka atakapowatangazia tena kuwepo kwa maandamano hayo ya amani.
 
Wakati huo huo wameonekana askari wakiwa katika magari yao kudhibiti wananchi kuandamana. Hali hiyo ilitokana na wananchi  hao kumiminika kwenye ofisi za Chadema mjini hapa kwa ajili ya kujiandaa maandamano. (Chanzo: Msigwablog)

Monday, September 10, 2012

Ommy Dimpoz-Baadae (Official Video)

                                                             



Tuesday, August 28, 2012

CHADEMA YAZUIWA KUFANYA MKUTANO JIONI YA LEO MJINI IRINGA


MSAFARA WA CHADEMA UKIWA UMEZUIWA MJINI IRINGA







FFU WAKIWA UWANJA WA MWEMBETOGWA KUHAKIKISHA HAKUNA KUFANYIKA MKUTANO WA CHADEMA MAHALI HAPO

POLISI WAKIWA WAMETANDA KUZUIA MSAFARA WA VIONGOZI WA CHADEMA




Monday, August 13, 2012

Country Boy ft Tash-Mdogo Mdogo (Official Video)


EXPENDABLE 2 KUINGIA SOKONI IJUMAA HII TAR 17 AUGUST

Kwa wale wapenzi wa filamu za kibabe (action movies) kaa mkao wa kula kwni Expendables 2 ambayo ni muondelezo ile ya mwaka 2010 inatarajia kuingia sokoni ijumaa ya wiki hii August 17.
Filamu hiyo imewahusisha waigizaji wakongwe, Sylvester Stallone kama Barney Ross ambaye ndiye kiongozi wa kundi la makomandoo wa The Expendables, Jason Statham kama Lee Christmas, ni mtaalam wa visu wa The Expendables, Jet Li kama Yin Yang, Dolph Lundgren kama Gunnar Jensen, Chuck Norris kama Booker, Jean-Claude Van Damme kama Jean Vilain (kiongozi wa upande wa maadui), Bruce Willis kama Mr. Church, Arnold Schwarzenegger kama Trench, Terry Crews kama Hale Caesar, Randy Couture kama Toll Road, na Liam Hemsworth kama Billy the Kid:

Baadhi ya washiriki katika filamu ya Expendables 2, kutoka kushoto ni Van Dame, Arnord, Stallone (Rambo), Jason na Dolph


Stallone (Rambo) na Dolph


 Rambo akiwa na Arnold Schwaznegger

 Van Damme akionyesha kwamba bado yupo fiti

Dolph 

Van Damme

Stallone(Rambo) na Jason
HAKIKA HII FILAMU SI YA KUKOSA 
(PICHA KWA HISANI YA LEOTAINMENT BLOG)