Thursday, September 20, 2012

Mbunge wa Iringa Mjini Mchg. Peter Msigwa jana amefanya mkutano mkubwa Ndani ya manispaa ya Iringa eneo la soko kuu.

 Umati wa watu wa manispaa ya Iringa wakiwa na mabango yenye ujumbe mbalimbali
 Mh Peter Msigwa akihutubia


 Wananchi wakimsikiliza kwa makini mbunge wao


No comments:

Post a Comment