Friday, July 20, 2012

MATUKIO KATIKA PICHA: Ajali ya kuzama kwa boti ya MV SKAGIT




 Askari wa Jeshi wakibeba miili ya watu waliokufa katika ajali hiyo ya Boti ya Skagit baada ya kuzama Baharini, wakihifadhi katika Bandari ya Zanzibar.


 Miili ya waliokufa katika ajali hiyo, ikibebwa baada ya kuopolewa majini.



Askari wakijipanga kupokea maiti waliokuwa wakishushwa katika Boti za uokoaji.

No comments:

Post a Comment