Tuesday, July 17, 2012

New Hit: D Banji-Oyato


 
Toka ameanza muziki mpaka sasa amefikia mauzo ya album ya kopi milioni 12 according to Q Magazine, Mafanikio yake pamoja na umaarufu vimeongezeka baada ya kutoka na single ya kwanza toka jiunge na lebo ya Good Music ya rapper Kanye West, sasa amedondosha single ya pili inaitwa OYATO


No comments:

Post a Comment