Monday, July 22, 2013

PICHA ZA ASKARI WALIOFARIKI JIMBONI DARFUL SUDAN KUTOKANA NA SHAMBULIO LA GHAFLA

 MT 88860  PTE Peter Muhiri Werema 44KJ

 MT 97024 PTE Fortunatus Wilbard Msofe- 36 KJ

 MT 72121 SGT Shaibu Shehe Othman DFH-AU

 MT 87085 PTE Rodney Gido Ndunguru 92 KJ


 MT 75028 CPL Osward Paul Chaula 431 KJ

 MT 80581 CPL Mohamed Juma Ally- DFHQ AU
 
 MT 72032 CPL Mohamed Chukilizo 41KJ
 MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMINA

RAIS KIKWETE AONGOZA WANANCHI KUAGA MIILI YA ASKARI WALIOKUFA DARFUL JIJINI DAR ES SALAAM LEO

(SHUGHULI IMEFANYIKA UWANJA WA WIZARA YA ULINZI UPANGA JIJINI
 DAR ES SALAAM)
 Rais Kikwete akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya askari wa JWTZ waliopoteza maisha jimboni Darful Sudan kutokana na shambulio la ghafla

 Makamu wa rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitia saini kitabu cha maombolezo

 Mke wa Rais mama Salma Kikwete nae akitia saini kitabu cha maombolezo
 



Sunday, July 21, 2013

PICHA: MIILI YA ASKARI WA TANZANIA WALIOKUFA DARFUL ILIPOWASILI NCHINI JANA

Miili ikishushwa katika ndege maalumu


Askari wakiwa wamejipanga kupokea miili

Makamu wa rais pamoja na viongozi wengine waliofika kupokea miili ya askari wetu


Nape na Ridhiwan Kikwete nao walijumuika


Wafiwa wakiwa katika hali ya huzuni kuwa pokea ndugu zao askari walifariki Darful

 Msafara kuelekea Hospitali ya jeshi Lugalo kwa ajili ya kuhifadhiwa


Sunday, July 7, 2013

UPANDE WA NDONDI MH HALIMA MDEE NA JAQUELINE WOLPER WATOKA DROO

 Mh. Halima Mdee akiingia uwanjani

Wolper akiwa tayari kwa pambano


 



PICHA: MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJILI TAMASHA LA MATUMAINI -2013

 
Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja.(Bongo movie waichapa bongo muvi kwa penati 2-1)
 
Timu ya Bongo Fleva wakishangilia ushindi wao

Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia ushindi 
(Yanga yaifunga Simba kwa Penalt 4-3)
 
Rais akikagua timu

Rais Kikwete akisani  mpira utakaotumika


 











Tuesday, July 2, 2013

RAIS BARACK OBAMA ALIPOKUA KWENYE MITAMBO YA SYMBION UBUNGO DSM, NA MATUKIO MENGINE MBALIMBALI YA ZIARA YAKE

 RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA AKIPIGA DANADANA ZA KICHWA ALIPOKUA KATIKA MITAMBO  YA KUZALISHA UMEME YA SYMBION UBUNGO DAR ES SALAAM.





RAIS KIKWETE ALIVYOMUANDALIA RAIS OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU



  Rais Obama na mkewe Michelle Obama wakiangalia ngoma za utamaduni