Kwa wale wapenzi wa filamu za kibabe (action movies) kaa mkao wa kula kwni Expendables 2 ambayo ni muondelezo ile ya
mwaka 2010 inatarajia kuingia sokoni ijumaa ya wiki hii August 17.
Filamu hiyo imewahusisha waigizaji wakongwe, Sylvester
Stallone kama Barney Ross ambaye ndiye kiongozi wa kundi la makomandoo wa The Expendables,
Jason Statham kama Lee Christmas, ni mtaalam wa visu wa The Expendables, Jet Li
kama Yin Yang, Dolph Lundgren kama Gunnar Jensen, Chuck Norris kama Booker, Jean-Claude
Van Damme kama Jean Vilain (kiongozi wa upande wa maadui), Bruce Willis kama Mr. Church, Arnold Schwarzenegger
kama Trench, Terry Crews kama Hale Caesar, Randy Couture kama Toll Road, na Liam
Hemsworth kama Billy the Kid:
Baadhi ya washiriki katika filamu ya Expendables 2, kutoka kushoto ni Van Dame, Arnord, Stallone (Rambo), Jason na Dolph
Stallone (Rambo) na Dolph
Rambo akiwa na Arnold Schwaznegger
Van Damme akionyesha kwamba bado yupo fiti
Dolph
Van Damme
Stallone(Rambo) na Jason
HAKIKA HII FILAMU SI YA KUKOSA
(PICHA KWA HISANI YA LEOTAINMENT BLOG)