Naibu Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Abdullah J Abdallah, amenusurika
katika ajali ya gari jana jioni katika maeneo ya Tumbi - Kibaha wakati
akitokea Bungeni Dodoma akielekea Dar. Ndani ya gari alikuwa pamoja na
mkewe na watoto wake ambao wote wamepata majeraha madoho, dereva wake
ameumia zaidi na hivyo kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya Tumbi.
No comments:
Post a Comment