Friday, August 10, 2012
Ajali Ya Gari Yaua Raia 11 Wa Kenya Eneo La Wami Mkoa Wa Pwani
Baadhi ya abiria walionusurika wakiwa katika eneo la tukio kabla ya kupata msaada.
Basi lililokua likitokea Kenya Kwenda DSM nalo lilitumbukia korongoni na kuua watu 11 ambao ni raia wa Kenya.
(Picha kwa hisani ya Mjengwa Blog)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment